Habari watanzania wenzngu..

Keglon.kg

New Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Habari! hivi jamani mwenzeni nashindwa kuelewa hivi sisi Watanzania tunaishi katika dunia ipi??????????
Kwani maisha tulionayo, hayana hadhi kabisa na rasilimali tulio nayo, sasa je! tuendelee kubaki kama wajinga,
viongozi wanatufanya sisi hatuna akili na wapumbavu. Sasa kama wewe ni kijana na unahitaj maendeleo ya
kweli unataka tu fanyajeee!
 
<br />
<br />
Ni mahal pa utambulisho na kukaribishana jamvin hapa.peleka mada hii kwenye jukwaa la siasa.kama ni mgen karib sana.
 
Maisha magumu yamemchanganya kwel. Amechanganya fail. Hapa ni mahala pa utambulisho.
 
mkuu kweli ndo umeingia ila hku ni utambulisho tu siredi ipeleke jukwaa la siasa................IN SHORT WE JUST SURVIVN
 

khaa hii ni introduction tu au ni sredi inayotaka ushauri?

eniwei karb bana
 
Tufanye kama Libya kwa faida ya watoto wetu, yaani magamba yanaua uchumi, hata akili hayana yanagombania mifupa
 
<br />
<br />
mkuu kuonesha msisitizo ungeungana na msemakweli kusaidiana katika kurekebisha uvujishaji wa mali za umma sasa hivi yupo oysterbay anaendeleza harakati..
 

..............polepole usije vunja keyboard,................karibu sana JF
 
Huyu jamaa awe under security, maana anaweza akajinyonga.
 
Kwanza tuache uwoga na unafki, baada ya hapo ndio tuanze kufanya mipango ya maendeleo vinginevyo utakuwa uwongo mkubwa sana.
 
Pita ndani.............................:welcome::hatari::lol:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…