Habari waungwana wa JF

Habari waungwana wa JF

davor

Member
Joined
Jul 28, 2014
Posts
71
Reaction score
13
Na dada yangu anakosa usingizi kabisaaa nimehangaika vya kutosha japo mm ni muislam lkn ilifika kipindi nikawa nawatumia hata wanamaombi wa kilokole kuja kumuombea lkn wapi mashekhe nao lkn wapi bado anateseka sana...nikaenda amana hosp wakawa wanampa vidonge lkn havimsaidii kabisa.

Hali imezidi kua mbaya anakesha usiku kucha,,, na limezuka jengine anakula kama mchwa halafu anaanza kuwa rafu (yaani mchafu) najitahid sana kumfosi kuoga na kulala lkn jahazi linazid kuzama naombeni ushauri ndg zangu..
ila dada yangu si mkorofi na ukimpa dawa anatumia bila shida tatizo hazimsaidii.
 
Is she virginity??...if yes then she should have a men in same bed...and if no.. take her to psychiatric unite like mirembe ...or big hospital like bugando..muhimbili Kcmc...for further investigation in mental illness problems.
 
Back
Top Bottom