Habari waungwana

Habari waungwana

Mpulanga

Member
Joined
Feb 18, 2019
Posts
7
Reaction score
3
Naombeni kufahamu Dalili za mwanzo za Maambukizi VVU Maana nimejaribu Kutafuta humu nilizopata wengi wamezielezea kua ni za 90'S huko so mpya zipoje kama zipo
 
Pima upate uhakika, usitafute dalili....[emoji6][emoji6]
 
kama ni yeye mwenyewe basi atakua amepita sehemu isiyo salama hivyo ameanza kujiogopa, huyu akipata hata malaria tu anaweza akakonda kwa uwoga na wasi wasi!
 
Naombeni kufahamu Dalili za mwanzo za Maambukizi VVU Maana nimejaribu Kutafuta humu nilizopata wengi wamezielezea kua ni za 90'S huko so mpya zipoje kama zipo

Vvu inashusha kinga ya mwili ko kila mtu ataonyesha dalili tofauti kulingana na ugonjw auliomshambulia
Njia pekee ni kwenda kupima

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pima upate uhakika, usitafute dalili....
emoji6.png
emoji6.png
Vvu inashusha kinga ya mwili ko kila mtu ataonyesha dalili tofauti kulingana na ugonjw auliomshambulia
Njia pekee ni kwenda kupima

Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante Mkuu
 
kama ni yeye mwenyewe basi atakua amepita sehemu isiyo salama hivyo ameanza kujiogopa, huyu akipata hata malaria tu anaweza akakonda kwa uwoga na wasi wasi!
Mawazo tupu hapa yamenijaa Ex wangu juzi kati alinicheki kuuliza kama nishawahi pima vvu nikamjibu hapana akadai Hua wana utaratibu wa kifamilia kwenda kupima kila mwaka sasa aliipa presha kulingana na mazungumzo yalivyo kua na yapata wiki sasa hapatikani hewani Nimecheki humu zile Dalili za mwanzo naona kama sina ila bado nina stress sana hata kwenda kupima ujasiri sina kabisa
 
Be cool

Train mind yako ipokee chochote utakachokutwa nacho, ukikutwa unao s mwisho wa maisha ukikutwa huna kua makini zaidi, usijipe stress utakufa siku s zako muhimu zaidi ukapime kama umeshapita window period

Back
Top Bottom