Habari wote wana JF

crusader_jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
994
Reaction score
851
Habarini za majukumu.

Mimi ni mgeni humu JF naomba ushirikiano wenu na nliomba kuuliza swali kidogo kuhusu JF. Je, JF ni mahala sahihi pa kujadili mambo ya kijamii bila woga maana nliwahi sikia kuwa JF founder wake aliwahi kamatwa na pia JF kunyimwa leseni na TCRA naombeni ufafanuzi kidogo wakubwa zangu humu JF.

Karibuni kwa miongozo yenu kwangu
 
Karibu sana kama unatumia email na id fake ruska kwako kufunguka yale unayohisi huwezi kuzungumza hadharani
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
 
Naona awamu hii vipepeo wanaingia kwa kas Sana humu Mana rate inaonyesha miez hii miwili Kuna ongezeko kubwa Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila karibu Sana humu mpate hekima za watoto wa wakulima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Karibu sana JF.
Shukrani
 
crusader_jr

Ukiweza kaa mbali na siasa za mitandaoni... Utaishi kwa amani na bila hofu... Hasa ukichagua upande wa kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…