HABARI YA HUU MUDA WADAU?

HABARI YA HUU MUDA WADAU?

pastor muyamba

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
252
Reaction score
135
Wakuu ninaomba kujua kwanini ,kuna baadhi ya ke huchelewa kujifungua tofauti na kawaida ya ,miezi Tisa?
 
Pastor, mkeo yamemkuta nini?
Kama yamemkuta pole sana, tuzidishe uvumilivu na kumuombea kwa sana
 
Ni baadhi ya koo kujifungua kwa kuchelewa huo ni utamaduni au ushirikina?
 
Back
Top Bottom