Habari ya Kusikitisha: Janeth Mbene na Double Tree Hotel wanaendeleza unyanyasaji

kidumu chama cha mapinduzi.............

ndo sera zake hizo au hamjui kuwa ni "chukua chako mapema" hata kama cha "dhuluma?"

ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



zidumu fikra sahii za mwenyekiti,kidumu chama tawala
 
wala sio uchadema!!!


nimejiuliza tu..............haya mambo ya UONEVU wa namna hii umetoeka mara ngapi hapa bongo?!?!?

hao wanaoleta ubabe...huo ubabe umetokana na nini?!?!?

huyu Janet mbene kapataje nguvu na jeuri ya kuruhusu huo ubabe na uonevu (ni ubabe na uonevu ikiwa huyo kijana ni mmiliki hahali?)



m4c at work
chademalism wakati hapa tunaongekea mambo ya madai
 
Wale wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu wako wapi wajameni? Mbona hii issue ni ya muda kitambo, inamaana wameshindwa kumsaidia?

Haiwezekani! Ni kuingilia jinsia. Janet anaonewa kwa kuwa yeye ni mwanamke, huyo kijana anataka kuleta manayanyaso ya mfume dume, ndo maana halmashauri imekwenda naye! JAMANI NCHI YANGU! Mara hiki mara kile! Haki iko wapi! Janet - utahukumiwa hapa hapa na huko mbinguni! Pesa inakufanya ushindwe utu, nini? cheo? Kwani uliwahi lala njaa kwa sababu ya kukosa cheo? Na kama waziri sijui naibu, unakubali je kuhongwa? Mumeo atafurahi kweli kusikia haya? Pohhhh aibu!!!!

Natamani kuanzisha petition tuisaini watu wengi tuipeleke kule manispaa ya kinondoni!
 
Pole sana kwa kijana anayevunjiwa. Maumivu aliyonayo ni makali sana. Lakini samahani mtoa mada. JANETH MBENE KAINGIAJE HAPA? YUPO ENEO LA KUVUNJA? WANAVUNJA KWA SABABU GANI HASA? KWA NINI UNADHOOFISHA MESEJI KWA KUMTAFUTIA SCANDLE JANETH MBENE AMBAYE WALA SI MWANASHERIA WALA WIZARA YAKE HAIHUSIKI NA HICHO KIWANJA? Hakuna sababu ya kupaka watu matope wakati sababu za kweli zipo zinaweza kujisimamia na haki ikapatikana kwa yeyote mwenye haki akapata. Sema sababu za kueleweka upate support na siyo kutafutiza kumuingiza Janeth Mbene. Ninaona kama wewe unavisa binafsi dhidi ya Janeth Mbene ambazo hujazieleza ila unataka wana jf wakusaidie kumlipizia kisasi mama wa watu kwa maslahi yako.
 
Hilo ni jimbo la Mh. Mdeee, so amuone amsaidi, hao CCM hawana msaada wanaangalai maslahi yao tu
 
Unavamia sasa? hili jambo hapa halijaanza leo, ungevuta subira kidogo, ukaelewe, sio unakurupuka tu, ok..... huyo mamam kabla ya kuwa mbunge alikuwa ni mwenyeki wa huo mtaaa, na hilo suala ni lamuda mrefu sana huyo mamam anahusishwa


 
Na doubt taarifa hizi. Mbona tulishaelezwa hapo nyuma kuwa huyu so called kijana aliazimwa hilo eneo na manispaa, na manispaa wanataka eneo lao hataki kurudisha. Kijana aliambiwa asiweke mali za kudumu na awe tayari wakati wowote kurudisha hilo eneo endapo manispaa watalihitaji eneo lao. Sidhani kama Janet anahusika hapa. Hapo nyumatuliambiwa kijana alikuwa mzamiaji na aliokolewa kufa maji na wasamaria wema. Hilo eneo aliliomba afanye shughuli za biashara kwa makubaliano alirudishe wakilitaka wenyewe.
 
Mbona hueleweki? Unamtetea Janet au unamlaumu? Sentesi ya kwanza inamtetea halafu unamkandia, tuelewe vipi?
 
wewe mzee wa masaki emb twambie huyo janeth anahu sikaje? si unaishi huko
 
Kwetu Mbene ni mbuzi,sasa mtu akiwa na jina la mbuzi ,jua atakuwa na roho ya kauzu
 
mi nitauvaa 'uAfghan' endapo nitadhulumiwa.
 
Mbona hueleweki? Unamtetea Janet au unamlaumu? Sentesi ya kwanza inamtetea halafu unamkandia, tuelewe vipi?
Una undugu na shetani janet!mteule wa chama cha mashetani,malkia wa dhuluma?
 
Mungu atamlipia pia maana hakuna dhuluma isyo na mwisho,,,,,!!! Hakika Mungu anasikia na Kuona kilio cha mja wake
 
Sina undugu nae nataka mweka mada awe clear!! Soma sentensi ya kwanza inamtetea kuwa anaonewa kwa vile mwanamke na kwamba ni mfumo dume. Ukiendelea anamkashifu. Nataka awe clear tu tujue yuko upande gani.
Una undugu na shetani janet!mteule wa chama cha mashetani,malkia wa dhuluma?
 
Dawa ya ubaya ni ubaya tu ataona thawabu ya uovu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…