Habari yako Mkuu

Abdalah Lyimo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
269
Reaction score
153
Mkuu Mimi Nina mama angu Anasumbuliwa na Koo anadai panauma Kama panawaka Moto saa nyingine anahisi Kama panashimo kubwa na akila au akinywa hapaumi ila akitulia ndo anasikia maumivu tumezunguka kila Aina ya Hospital wanachodai ni vidonda vya tumbo msaada wenu please ....
 
Kuzunguka kila Hosp Sio Shida..

Vipi anashindwa kabisa kumeza au anameza kwa maumivu... (Maji au Ugali)

Mmepima ultrasound na kipimo cha Vidonda vya tumbo cha kumeza?

Alipewa matibabu gani mwanzo?
 
Mpelekeni kwa mtaalamu wa mfumo wa chakula ikiwezekana afanyiwe kipimo cha OGD, ikishindikana daktari wa PUA/KOO/SIKIO atamaliza ....anaweza kuwa na Gastro Esophageal Reflux disease, KUMBUKA ukifika kwa daktari unapaswa umwambie unavosumbuka ama kujiskia hii ni nyenzo muhimu sana dr kufikia kufahamu unaumwa, Tofauti na wagonjwa wa siku hizi hutaka kujifanya anajua na kuanza kusuggest kipimo ama dawa..
 
Asante
 
Kuzunguka kila Hosp Sio Shida..

Vipi anashindwa kabisa kumeza au anameza kwa maumivu... (Maji au Ugali)

Mmepima ultrasound na kipimo cha Vidonda vya tumbo cha kumeza?

Alipewa matibabu gani mwanzo?
Ana kula vizur na anameza vizur na hata akila hamna maumivu ila akikaa anahisi panawaka moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mafindofindo yanayosababishwa na unywaji wa vinywaji baridi kweli??!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…