Habari za CHADEMA zazimika kama mshumaa Mitaani

ZINAZIMIKA WAKATI WEWE MWENYEWE UNAZIANDIKA KAMA HIVI.
Nawasilisha ukweli ulio mchungu kwa wafuasi wachache waliobakia wamejishikiza huko chadema maana wengi walisha ikimbia chadema baada ya kufahamu siyo chama Bali Ni Mali ya mtu binafsi Kama kitega uchumi chake
 
Mnyiha wewe akili zako mbovu
 
Acha upumbavu, kama chadema imekataliwa kwenye moyo wa mama yako na wewe usidhani itakataliwa na watanzania wote. Tatizo lenu mataga mnaandika vitu kujifurahisha wenyewe ila ukweli mnaujua wenyewe. Matatizo na shida mlizokuwa nazo hazikuletwa na chadema, zimeletwa na serikali yenu. Acha kutuona watz ni wapumbavu kama wewe! Tuna akili, hatushikiwi akili kama mpumbavu wewe
 
Si ndio vizuri ili CCM ipate uwanja wa kutamba mbona hamueleweki mnakua kama wanawake wauza baa na ku.ma hapo hapo.
 
Naunga mkono hoja, la kuvuma huwa halidumu!. Hata ngoma ukiiona inavuma sana, ujue inakaribia kupasuka!.
P
Wewe tokea uanze kuiponda hiyo CDM na kuiombea kifo ni miongo ya miaka mingi inapita sasa but still chadema ipo na itaendelea kuwepo chama kilichokufa ni CCM na kilichobakia ni mbeleko za serikali ila kwa graund mnapwaya mno
 
Unashabikia ukweli upi mpuuzi tu wewe? Utakwenda kaburini bila hata kuwa katibu kata. Wanafiki tu ninyi!
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Mbona umepaniki Sana ndugu yanguu,karibu CCM uishi kwa amani na utulivu kuliko kuwa kwenye lichama Kama chadema ambalo halina dira Wala muelekeo zaidi ya kuwapa msongo wa mawazo nyie wafuasi wake wachache mliopoteza matumaini ya maisha baada ya kupotezewa na kuharibiwa ndoto zenu na viongozi wa chadema waliowalaghai
 
Kuna kaukweli. πŸ€”

Nadhani wanatumia nguvu kubwa kuendelea kupambana na marehemu.
Ooo alikuwa hivi ikawa vile. sasa itasaidia nini mtu kashazikwa.
Ni kama hawana mipango. Yaani kuruhusiwa mikutano imekuwa kama kaburi la kuwazikia. maana awali kulikuwa na kichaka cha kuzuiliwa mikutano.
 
Wewe tokea uanze kuiponda hiyo CDM na kuiombea kifo ni miongo ya miaka mingi inapita sasa but still chadema ipo na itaendelea kuwepo chama kilichokufa ni CCM na kilichobakia ni mbeleko za serikali ila kwa graund mnapwaya mno
Kwa Sasa Chadema limebaki jina tu,Siyo chama mbadala na Wala hakina sifa hiyo,kimekosa ushawishi wa kisera na kiajenda kwa watanzania,Siyo chama kinachoweza hata kufikiriwa kupewa kura ya uenyekiti wa mitaa maana hakiaminiki,Ndio maana kwa miaka take mingi Sana kimeshindwa hata kupaka rangi ofisi za makao makuu yake licha ya kukusanya mamilioni ya Fedha Kama Ruzuku, lakini fedha zote zimeishia kutafunwa na viongozi wake janja janja,Sasa watanzania wamewatambua kuwa Ni wababaishaji na walaghai ndio sababu ya kuamua kuwapuuza kwa sasa
 
Wewe tokea uanze kuiponda hiyo CDM na kuiombea kifo ni miongo ya miaka mingi inapita sasa but still chadema ipo na itaendelea kuwepo chama kilichokufa ni CCM na kilichobakia ni mbeleko za serikali ila kwa graund mnapwaya mno
Ili kwako umuone Pascal Mayalla ni mchambuzi mzuri ni mpaka awe anawasifia Chadema hata wakiwa wanafanya mambo ya ovyo?
 
Tatizo lako huna point za msingi yaani unaamini chama bora ni kile chenye ofisi nzuri? CDM kwa sasa wamefanikiwa kuendesha chama ki taasis kitu ambacho ni kigumu kwa vyama vingi vya upinzani ndio maana unaona kila kanda inaweza kufanya shughuli zake bila mob ya viongozi wakubwa ndani ya chama huu ndio ukomavu kisiasa sio izo polojo zako za kila siku sjui ofisi sjui mbowe , ebu kuwa mtu mzima bhana
 
Hakina mwenye Akili Timamu anayeweza kuwaunga mkono CHADEMA kwa Sasa, Ni chama kilichokosa muelekeo na dira inayoeleweka,Ni chama kilicho na watu waliojikatia Tamaa,ndio maana ya kuona wakitukana matusi utafikiri watu waliokosa malezi ya wazazi wao, uwezo wa wafuasi wake Ni mdogo Sana katika kujenga hoja ,wanachojuwa Ni kutoa sauti kubwa Kama kengele ya shule ya msingi
 
Chama gani kinakosa ofisi halafu useme Ni chama makini? Huoni kuwa Ni chama kinachoendeshwa kihuni huni? Kwa hiyo watu wakitaka kuonana na viongozi wenu watawakuta wapi? Embu acheni ubabaishaji wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…