Habari za CHADEMA zazimika kama mshumaa Mitaani

Unashabikia ukweli upi mpuuzi tu wewe? Utakwenda kaburini bila hata kuwa katibu kata. Wanafiki tu ninyi!
Hili ndilo tatizo lenu CHADEMA, hata huko Twitter

Mnajaza comments za kashfa na Matusi badala ya kujibu hoja kwa ustaarabu

Haya, ngoja tuone Matusi yatawafikisha wapi
 
Kama huu uzi.... Ni propaganda uchwara.
Siyo propaganda Bali Ni ukweli wa wazi kabisa ,kwa Sasa mitaani mtu anaona aibu Kuvaa magwanda ya Chadema maana inaonekana Ni chama Cha kihuni tu,kutokana na Tabia ya wafuasi wake kutukana matusi hovyo Kama watu waliokatika mishipa ya fahamu
 
Wewe hujui kwamba mashambulizi hupangwa na kwamba wapinzani wanajipanga kuweza kushambulia kistratergy. Kama Chadema haikufa enzi za Magufuli basi haitakufa siku za karibuni.
 
Wewe hujui kwamba mashambulizi hupangwa na kwamba wapinzani wanajipanga kuweza kushambulia kistratergy. Kama Chadema haikufa enzi za Magufuli basi haitakufa siku za karibuni.
Hakuna mashambulizi yoyote ya kihoja utayasikia kutoka kwa chadema,labda mashambulizi ya matusi ndio hawana mpinzani kwa Hilo,
 

Wewe kweli una tatizo. Kuna nyuzi kumi leo zinaongelea CHADEMA wa kwako ni wa kumi na moja. Sasa imezimaje?
 
Siasa za chama zinazozimika haziwezi kuwa topic za mijadala kutoka kwa wapinzani wa hicho chama, vyama ambavyo siasa zake zimezimika/zinazimika huwa havianzishiwi threads humu labda ikifika wakati wa uchaguzi.
 
Chama gani kinakosa ofisi halafu useme Ni chama makini? Huoni kuwa Ni chama kinachoendeshwa kihuni huni? Kwa hiyo watu wakitaka kuonana na viongozi wenu watawakuta wapi? Embu acheni ubabaishaji wenu
Kwaiyo ile sio ofisi we ni tairah kweli
 
upinzani wa miaka hiyo kurudi si rahisi
 
Unasema habari za chadema zimezima wakati kila uzi humu JamiiForums unahusu chadema ikiwa ni pamoja na huu wa kwako?!
Anashangaza kweli huyu Lucas mwashambwa

Anasema kitu au jambo linalotawala ndani ya nafsi yake lakini wakati huohuo anakimbia barabarani akipayuka kuwa kitu au jambo Hilo halipo..!!

He must be out of his mind..!!!

Kitu au jambo au mtu asiyekuwepo, kamwe hasemwi popote maana kumbukumbu yake haipo..!!
 
Hili ndilo tatizo lenu CHADEMA, hata huko Twitter

Mnajaza comments za kashfa na Matusi badala ya kujibu hoja kwa ustaarabu

Haya, ngoja tuone Matusi yatawafikisha wapi
Wana hasira Kali Sana baada ya kukataliwa na watanzania
 
Kila kichaka cha kuzuia mikutano ya kisiasa hakipo tena wamebaki tu wanaongea ongea kwa kuwa hawana hela
 
Duh...!. Kiukweli kabisa mimi sina level yoyote humu, nikipenda bandiko lolote kwa hoja yake, nachangia hoja bila kujali aliyepandisha bandiko ni nani!. Ninachoangalia mimi ni hoja tuu iliyo mezani bila kujali imeandikwa na nani!.
P
Great thinker!.
 
Si ndio vizuri ili CCM ipate uwanja wa kutamba mbona hamueleweki mnakua kama wanawake wauza baa na ku.ma hapo hapo.
Alafu mnataka watu wawafuatilie kwa akili kama hizo.
Yani watu kamawewe ndio mnategemewa kushawishi wengine waiamini chadema.
 
Huo ndio ukweli japo Ni mchungu lakini ndio uhalisia wenyewe kuwa kwa Sasa Chadema Imepoteza muelekeo na dira,Imepoteza ushawishi kwa watanzania,hakuna anayeiamini chadema kwa Sasa maana kila mtu anatambua kuwa Ni wababaishaji tu na wasaka tonge
Hawakuwa na Ajenda Mahsusi!! Walikuwa na Ajenda mbili tu:
1. Risasi 16 mwilini.... Hii imechokwa kwa sababu imepitwa na wakati
2. Magufuli Dikteta na Muuaji.... Watanzania wanaona hawaambiwi Tazama; magufuli amefanya mambo makubwa na ya mfano kwa Afrika.

Mama Samia kapita mule mule na kazi inaendelea. WAMEPOTEANA na WAMEKIMBIANA
 
Unaweweseka sana na chadema we jamaa.kama chadema imekufa hofu yako ya nini sasa?.Huwezi kuhofia kitu ambacho hakipo.Ccm mko wenyewe kila mahali ila bado unaangaika na chadema kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…