Habari za CHADEMA zazimika kama mshumaa Mitaani

Upinzani wa watu umo mioyoni mwa watu kutokana na hali ngumu ya maisha na madhila mengine !! Kwahiyo hata wasipokuwepo Chadema bado upinzani utaendelea kuwepo mioyoni mwa watu !! Ukitaka kuujua upinzani kama upo au hakuna subiri Uchaguzi Mkuu ukaribie, kwa sasa bado imebaki miaka karibu mitatu watu kwa sasa wanapambana na hali zao !!
 
Naunga mkono hoja, la kuvuma huwa halidumu!. Hata ngoma ukiiona inavuma sana, ujue inakaribia kupasuka!.
P

Paskali
Chadema ilishajifia, wala hawana hoja wala Sera zozote za kueleza watu

Serikali ndio ilikuwaja inawapa nguvu chadema Kwa kuzuia mikutano Yao, na kuwakamata wakina mbowe,

Ilitakiwa wawaache hivi since day one
 
Mwehu mwingine huyu...Muda was kuandika utumbo huu unaupataje?
 
Kama ilijifia mnaangaik nayo ya nn! Si muendelee na kazi za wananchi?
 
Wewe chawa Lucas Mwashambwa hapo ullipo unaitangaza Chadema,kwani usiandike ACT au CUF? Utaandika sana namba za simu bwege wewe
 
πŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Mwehu mwingine huyu...Muda was kuandika utumbo huu unaupataje?
Naandika hivi baada ya kuona namna chadema walivyopoteana na kuishiwa pumzi, wamebaki watu wa mimatusi tu midomoni mwao, wamebaki watu wa mihasira na mihemuko tu
 
Kama ilijifia mnaangaik nayo ya nn! Si muendelee na kazi za wananchi?
Ndio maana unaona serikali ya CCM ikiendelea kwa Kasi ya ajabu katika kuwatumikia watanzania kwa kuwaletea maendeleo yanayogusa maisha yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…