chama cha makamamba(ccm) wa kijeshi kinaweweseka, hakijui cha kufanya, kinajaribu kuwatisha watu kupitia vyombo vya dola ili wasidai haki yao, kamwe tusiogope tubebe hata matokeo ya urais tukawashitaki kwa baba zao watawanyoosha tu(wafadhili). pia tuweke mkakati wa kukifuta kabisa chama cha ccm katika uchaguzi wa 2015 ikibidi wasipate hata kiti kimoja cha ubunge na wapoteze halmashauri zote
peoples stand up for your rights, hii sio nchi yao ni yetu ndio maana tumewaonesha uamuzi wetu wa nani anatufaa kupitia sanduku la kura ingawa hawataki kukubali ukweli kuwa hatuwataki.
hivi jamani kama umemkataa mtu kuwa mke/mme wako kwasababu humpendi halafu hakubali unafanyeje???