Kila mtu ana maono yake......
Habari za Kusagana, Ngono, na Serikali ya CCM!
Jamani sitaki enda nje ya topic ila kiongozi wa serikali na CCM ni dini gani vile? Wakati wa Julius na Ben hali haikuwa hivi.......sishangai mwenzenu najua tatizo lilipo! watakao fikiri mimi ni mlevi shauri yao ila habari ndo hiyo!
Habari za Kusagana, Ngono, na Serikali ya CCM!
Jamani sitaki enda nje ya topic ila kiongozi wa serikali na CCM ni dini gani vile? Wakati wa Julius na Ben hali haikuwa hivi.......sishangai mwenzenu najua tatizo lilipo! watakao fikiri mimi ni mlevi shauri yao ila habari ndo hiyo!
Eti nini??.....unasema mkulu wetu ni mzee ruksa junior!...au?
Nakubalana na Mwanakijiji ya kua ni vema kukawa na sela kuhusu magazete hayo Wapi ya uzwe , kuanzia umrigani mtu anaruhusiwa kununu n.k.Cha kusikitisha serikali yetu au viongozi wetu wapo sio kulinda masilahi ya jamii bali masilahi yao binafsi.Watakuja juu na kuyakemea na kuyandama magazeti yale yatayofichua ufisadi na uozo wao.Magazeti yatakayo yagusa majina yao,watoto zao jamaa zao n.k.Kwa upande mwingine serikali yetu inafurahia magazeti haya ya udaku (Yasiyo wagusa wao na familia zao)Kwa sababu yanawasaidi katika kuamisha mawazo ya jamii kutoka katika kufuatilia maswala muhimu{ufisadi,rushwa na uozo mwingine katika serikali na viongozi wetu ambapogharama yake anailipia mlala hoi} Nafikiri hii ndiyo sababu kuu ya serikali kutoliona -kwa makusudi - tatizo hili na madhara yake katika jamii.Mungu ibariki tanzaniaSerikali kama imeshindwa kudhibiti kuenea huku kwa mambo haya basi itunge sheria ya kuregulate sex industry in the country and pornographic material badala ya kuzipiga marufuku tu.
Serikali kama imeshindwa kudhibiti kuenea huku kwa mambo haya basi itunge sheria ya kuregulate sex industry in the country and pornographic material badala ya kuzipiga marufuku tu.
Mkulu MMK
Imetoka kwenye Gazeti la Ijumaa April 17-23, 2009.
Je, kuna vitu ambavyo magazeti hayawezi kuviandika bila kuwa graphic kama ilivyo kwenye makala hii?
Je, Serikali inatambua madhara ya habari kama hii kusomwa na mtoto mdogo wa shule ambaye anaweza kulipata gazeti hili mitaani?
Je, Wizara ya Habari na Utamaduni chini ya mtani wangu Mkuchika wanafanya nini kuzuia kile ambacho wagiriki wa kale walikiita corrupting the morals of the minors? na ambacho hata sisi tunacho kwenye sheria zetu?
Ni mpaka Waziri gani aandikwe kuwa anasagana ndipo watajua habari kama hizo ni detrimental to the welfare of our youth?
Kuna mtu anayejali? Wachungaji na Mashehe wako wapi kupinga uchafu huu au ndio wanasubiri hadi mwanasiasa awaalike?
Taasisi za haki za watoto ziko wapi au hadi waahidiwe fedha?
Mwanakijiji!
Mkulu MMK
Nobody cares, its only you.
What a shame....!!!!!??????
Kama wewe ni Muuzaji wa magazeti na vijalida mbalimbali,uza kijarida cha cheche hapo pamoja na gazeti la Uwazi, uonebaada ya masaa mawili, lipi kopi zake zitakuwa za kwanza kuisha?
Ni jukumu letu sote kusema NO,kwa huu "UFISADI WA MAADILI YA WATOTO" wetu ambao kila siku ,sisi kama wazazi tunajitahidi kujenga maadili hayo ambayo NDIYO KITU CHA MWISHO tulichobakia nacho kama Taifa.
Haya yanayotokea ya kuachia mambo namna hii, Mkulu hayatokei kwa bahati mbaya au watu wamezembea,HAPANA.
Haya yanatokea kwa MAKUSUDI,WAHUSIKA WANAJUA NINI WANACHOFANYA.
TUTAKUWA NA WATOTO WENYE TABIA ZA HOVYO.WASIOPENDA SHULE,KUFANYA SHUGHULI ZA MAENDELEO,TUTAKUWA NA TAIFA LA WATU WANAOFIKIRIA..NGONO.... NGONO.... NGONO tu.
Asubuhi mawazo ni ngono,Mchana Ngono, Jioni Ngono.
Na mkakati huo believe me, umeanza kufanya kazi........TUNAONA MATOKEA YAKE.
TUNAJUA WAO WANANGUVU ......TUNAOMBA WACHUKUE KILA KITU....FEDHA,MADINI,WANYAMA, LAKINI MAADILI KWA WATOTO WETU WATUACHIE.
NO MAADILI , NO TAIFA.
Madela, wewe mwanasiasa wa mwituni, Nakuweka kwenye list ya watu ambao M.Mungu akinijalia, ni lazima nionane nao, una mifano ya ajabu sana! 🙂Wazee na mvi zao wanatamani watoto wadogo kama vile wamepuliziwa Limbwata lililochanganganywa na maynyoya kutoka sehemu za siri za mbwa.
Mimama nayo inatamani vivulana kama kutamani chipsi kuku, pilipili mbuzi kibao na soda baridi ya Pepsi usawa wa saa 7 mchana pale DTown mitaa ya Samora, ili wapoze Uhanga wao tangu usichana.
umepatia! chagua mji! Tanga? nchi , Iran?