Habari za maisha ya Mfalme Daudi kabla na baada ya kuwa mfalme wa Israel naweza kuzipata kwenye Aya zipi ndani Kurani tukufu?

Google mtu wangu kama hautopata majibu hapa
 
Soma sura hizi
1.Sura Albaqara aya za mwisho mwisho sikumbuki exactly lakini kama 6 pages kabla sura haijaisha inaelezea jinsi Nabii Daudi alivyomuua Jaluti (Goliat)
2. Soma Surat Al Anbiyaa kuna aya zinaeleza mitume kadhaa akiwemo Daudi na Suleiman
3. Soma Surat An Naml hii imeelezea kwa kirefu kuhusu Mfalme Suleiman na Daudi
4. Soma Surat Saad kuna sehemu ametajwa Nabii Daudi
5. Soma Surat Sabaa pia imetaja habari za Nabii Daud
Na Sura zingine pia zimetaja japo kwa uchache.
Namuomba Mwenyezi Mungu atuongoze wote katika njia iliyo sahihi. Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…