Habari za majukumu waungwana

mgunga pori

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2016
Posts
4,092
Reaction score
4,896
Katika uboraa wa jf nimependa kujiunga baada ya kuwa mfwatiliaji wa jf kwa Muda wa miaka 3 mpaka leo hiii
 
Vp asee huo mguu kwenye prfl ni wako??? duu kama mguu ndo hivyo sipati picha sura ikoje!!!kama unabisha tuma picha yako huku tuone!![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] Ila karibu sana j.f aloo!!
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…