Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani nimerudi, safari yangu haikuwa nzuri. Kama unamuamini Mungu ukipumua basi shukuru kwa kila pumzi.
Nitajitahidi kuwa jamvini kwa muda wa kutosha