Habari za mda huu wana jamvi, mwenye ujuzi wa maswala ya umeme.......

rugu kwetu

Member
Joined
May 23, 2023
Posts
35
Reaction score
44
Kama kichwa kinavojieleza tafadhali mwenye ufahamu wa waya za umeme
1.5mm2 single core cable kwa kila rangi na 2.5 mm2 singke core cable ninaomba mnisaidie na kama yupo fundi mzur akuje tuyajenge.
 
Njano & kijani = E
nyekundu= L
blue = N
 
Kama kichwa kinavojieleza tafadhali mwenye ufahamu wa waya za umeme
1.5mm2 single core cable kwa kila rangi na 2.5 mm2 singke core cable ninaomba mnisaidie na kama yupo fundi mzur akuje tuyajenge.
Usaidiwe kwenye nini mkuu?
 
Old:
Red-Live
Black-Neutral
Yellow -Earth

Now:
Brown-L
Blue-N
Green-E

Unataka msaada kwenye nini?
 
Kama kichwa kinavojieleza tafadhali mwenye ufahamu wa waya za umeme
1.5mm2 single core cable kwa kila rangi na 2.5 mm2 singke core cable ninaomba mnisaidie na kama yupo fundi mzur akuje tuyajenge.
Habari mimi ni mtaalamu wa umeme kwenye kipengele cha ku design michoro ya umeme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom