rugu kwetu
Member
- May 23, 2023
- 35
- 44
Njano & kijani = EKama kichwa kinavojieleza tafadhali mwenye ufahamu wa waya za umeme
1.5mm2 single core cable kwa kila rangi na 2.5 mm2 singke core cable ninaomba mnisaidie na kama yupo fundi mzur akuje tuyajenge.
Usaidiwe kwenye nini mkuu?Kama kichwa kinavojieleza tafadhali mwenye ufahamu wa waya za umeme
1.5mm2 single core cable kwa kila rangi na 2.5 mm2 singke core cable ninaomba mnisaidie na kama yupo fundi mzur akuje tuyajenge.
Habari mimi ni mtaalamu wa umeme kwenye kipengele cha ku design michoro ya umeme.Kama kichwa kinavojieleza tafadhali mwenye ufahamu wa waya za umeme