Habari za Michezo ITV!!

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,023
Reaction score
12,811
ITV hivi sasa wameimprovu katika taarifa zao za habari, na hasa habari za michezo, sio kama zamani ambapo habari zilizotawala zilikuwa za michezo ya mchangani!
 
Dah mkuu si ungetoa mfano au details zaidi. Nilitegemea mengi but where..... 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…