Habari za mida hii wana JF. Nataka kufahamu awamu yapili ya vitambulisho vya taifa, v?

ThisisDenis

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
162
Reaction score
139
Nimejaa hasira nashindwa kujua tatizo nini hasa kwa kua tumefanya wote uandikishaji wa awamu ya pili cha kushangaza vimerudi vya wale ambao hawakuwahi kujiandikisha wala kua na vitambulisho.

Note:-
Kwa nini nimelalamika kwa hilo ?
Ni kwasababu ukitumia kitambulisho cha awamu ya kwanza kabisa kusajilia laini, unaambiwa hakitumiki.

Na kwa nini inaonesha hakitumiki ?
Ni kwasababu namba ya kitambulisho hicho tayari kimefungiwa kwa info za awamu ya pili.


Swali :-
Wale ambao hatujapata vya awamu ya pili watatupatia lini vitambulisho hivyo, angali bado tuna vile vya awamu ya kwanza ambavyo nisawa na nothing kua nacho ?
 
Mlolongo wa kukipata hicho kitu ni kama unaomba kuongezewa miaka ya kuishi kwa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…