God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Ukipita mitaani utakuta wanamjadili P Didy.
Sasa nyie waswahili mnawezaje kufahamu mambo ya marekani huku kiingereza hamjui .
Je, mmesoma makala ngapi?
Je, mnaweza hata kusikiliza interview ya P didy mkajua alichokuwa anaongea?