God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
TumesimuliwaUkipita mitaani utakuta wanamjadili p didy.
Sasa nyie waswahili mnawezaje kufahamu mambo ya marekani huku kiingereza hamjui .
Je mmesoma makala ngapi ?
Je mnaweza hata kusikiliza interview ya P didy mkajua alichokuwa anaongea?
Huwa inachukua muda gani?Kuna watu jana niliwasikia wakisema diamond angegongwa angekuwa number one male artist in Africa and he could perform in biggest Arena.
Wewe mzungu , sasa hautaki tupate stories kwenye vijiwe vyetu vya kahawa kupoteza mda kama ilivyo jadi yetu waswahili?
Tanxania nzima we peke yako ndo umesoma shule na unaelewa kingereza?Ukipita mitaani utakuta wanamjadili p didy.
Sasa nyie waswahili mnawezaje kufahamu mambo ya marekani huku kiingereza hamjui .
Je mmesoma makala ngapi ?
Je mnaweza hata kusikiliza interview ya P didy mkajua alichokuwa anaongea?
Kupoteza mda uliotuzidi siku ziende😁Story za uongo na kweli
Tanxania nzima we peke yako ndo umesoma shule na unaelewa kingereza?
Kupoteza mda uliotuzidi siku ziende😁
😂😂Hii nchi mna viswaswadu sasa wamejuaje kama mondi kabanangwa au ndio mnataka kumuharibia CVUkipita mitaani utakuta wanamjadili p didy.
Sasa nyie waswahili mnawezaje kufahamu mambo ya marekani huku kiingereza hamjui .
Je mmesoma makala ngapi ?
Je mnaweza hata kusikiliza interview ya P didy mkajua alichokuwa anaongea?
Waswahili hao si wa kizazi cha 1960s anymore, wameenda shule wengi sana. Wengi graduates wanachaje kuelewa?Ukipita mitaani utakuta wanamjadili p didy.
Sasa nyie waswahili mnawezaje kufahamu mambo ya marekani huku kiingereza hamjui .
Je mmesoma makala ngapi ?
Je mnaweza hata kusikiliza interview ya P didy mkajua alichokuwa anaongea?