Habari za sasa hivi na nzito

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
Kama unatafuta viumba kwenye nyumba za kulala wageni vimejaa Dsm yote.
Hivyo jeshi limeweka mahema uwanja wa taifa.
 
Kama unatafuta viumba kwenye nyumba za kulala wageni vimejaa Dsm yote.
Hivyo jeshi limeweka mahema uwanja wa taifa.

Nendeni mkalale polisi, mnataka kulala hotelini kwani vibanda vyenu vya mabati pia vimejaa? Mkiweka mahema kama wakimbizi tutakuja kuwapigeni mawe usiku, wapumbavu wakumbwa nyie. Hamna tofauti na Mafisadi kwa kupenda 10% za rushwa.
 
yote hii ni kwa ajili ya kuchakuana siku ya wapendanao au mamlaka ya hali ya hewa imetoa tafadhali ya mafuriko kwa wanaoishi mabondeni teh teh teh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…