Habari za siku WanaJF... ?!

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Posts
6,402
Reaction score
1,273
Nina furaha kuungana nanyi tena. Tuko pamoja.

Shukrani.

Steve Dii
 
Mkuu kilikusibu kipi mpaka ukahadimika kiasi icho au mambo ya kutafuta elimu?
 
Nina furaha kuungana nanyi tena. Tuko pamoja.

Shukrani.

Steve Dii

Poa tu Mkuu, ulipotelea wapi? Karibu tuanzishe thread ya msako mkali wa kukutafuta duniani kote lol! Nafurahi sana kukuona tena. Tulimiss sana michango yako iliyotulia hapa jukwaani katika maswala mbali mbali.
 
hv uliendaga wapi tena?....nilikumiss

Mkuu kilikusibu kipi mpaka ukahadimika kiasi icho au mambo ya kutafuta elimu?
Nilichukua break binafsi tu ndugu zangu. Haikusababishwa na chochote muhimu, bali ni mambo ya kawaida tu maishani yaliyopelekea kutoonekana huku jamvini kwa kipindi sasa.
 
hee Steve Dii siku zote nakufanyanisha na Nyani Ngabu nisamehe sana
Karibu tena natumai umekuja na nguvu mpya
 
Welcome back...

Siku hizi kuna chemba ya Maungamo...
 
hee Steve Dii siku zote nakufanyanisha na Nyani Ngabu nisamehe sana
Karibu tena natumai umekuja na nguvu mpya

Tafadhali mama, na mimi niombe radhi. Steve Dii hafikii hata robo ya uhandsome wangu. Sasa sielewi ulikuwa unamfananisha nami kwa minajili au vigezo gani.
 
Maan, this is more than kupotea. Karibu sana.
 
hee Steve Dii siku zote nakufanyanisha na Nyani Ngabu nisamehe sana
Karibu tena natumai umekuja na nguvu mpya
Duuh, aisee, dada wee una hatari kwelikweli.... kuna baadhi ya mambo anapenda kunigezea tu yule Mnyantuzu! Lakini kwa vile nami ninadamu ya unyantuzu na uanakeya, kuna similarities nyingi! Kwa hiyo jamaa akilog in ulikuwa unafikiri ni mambo ya multiple IDs hayo??! lol

Mambo ya honey moon hayo! Welcome back
Bebeh ngalu, hujaacha uzushi tu?! lol

Welcome back...

Siku hizi kuna chemba ya Maungamo...
Thanx buddy, and where exactly is that chemba??!

Tafadhali mama, na mimi niombe radhi. Steve Dii hafikii hata robo ya uhandsome wangu. Sasa sielewi ulikuwa unamfananisha nami kwa minajili au vigezo gani.
Bebeh ndogosa, kinehe... ukagapandeka aka cheng'we ako wacholaga??! lol

Maan, this is more than kupotea. Karibu sana.
Thanks partner! I see the game ain't changed much in here. Btw, I've got push for a Sukuma thread sometime soon, as I wanna learn a few more things on the structure of the language, particularly on addressing individuals during greetings. Nyani Ngabu might come handy here too.
Kinehe ubochoji wa mhilya nouh twa-nisale? any luck?? lol

Belinda ndo ugonjwa gani huo huko miguuni?
Karibu Mkuu Steve Dii
Thanks dude!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…