Ndugu zangu watanzania, naomba tubadilike. Kunamtu anaitwa Shigongo, yeye na magazeti yake wanacho fanya ni kucheza na akili za watu huku akitengeneza hela nyingi sana, kwa watu hao ambao hawapendi kuumiza kichwa kidogo, Linapotokea tatizo kwa mtu maarufu hutafuta namna ya kupamba magazeti yake kusiko na ukweli wa hiyo taarifa, mfano kesho au leo au kesho kutwa kutokana na kifo cha Sajuki magazeti yake yataandika heading zenye maneno kama, MANENO YA MWISHO ALIYOYASEMA SAJUKI KABLA YA UMAUTI, AU MAMBO KUMI USIYOYAJUA YA SAJUKI, AU SAJUKIKI NI FREEMASON?, AU UNAJUA UHUSIANO KATI YA SAJUKI NA MKEWE SIKU ZA KULAZWA KWA SAJUKI, AU SIRI NZITO ALIYOYANAYO DAKTARI ALIYE MUHUDUMIA SAJUKI KWABLA YA UMAUTI, tuachwe kudanganywa.