Habari zenu jamani natafuta mwenza au mke

Habari zenu jamani natafuta mwenza au mke

ARGAN MARA

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
1,020
Reaction score
2,716
Mimi ni kijana wa 28 black elimu diploma nimejiajiri dini Muslim Kama dini inavyo sema kuwa ndoa ni utimilifu wa dini nami sinabudi kutafuta mke

Sifa za mke ninae muitaji awe Muslim miaka kuanzia 23-25 awe na elimu ya dini Yani awe ostadhat mcha Mungu mpole

Nikimpata wa kanza ya ziwa itakuwa vyema zaidi ila akipatikana wa mikoa mingine pia nitamuoa

Kwa yoyote mwenye hizo sifa naomba uje tuoane
 
Nilisahau awe ajawahi kuzaa sitaji single mother coz me sina mtoto
 
Nilisahau awe ajawahi kuzaa sitaji single mother coz me sina mtoto

Hutaki matatizo kwenye maisha yako[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]

Mambo ya kuharibu ameharibu mwingine machungu unamaliziwa wewe

Hutaki mke wa familia mbili

Sasa miaka hiyo unaoa nini wewe tulia ule raha kwanini ukimbilie mastress ya kuishi na mwanamke kr bado mdg waachie 33+ au oa wake wawili km unataka kula bata.
 
Back
Top Bottom