Habari zenu JF nipeni njia

Tora Bora

Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
10
Reaction score
0
Leo na mie nimeamua kujiunga na mtandao wa JF kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu nipokeeni.
 
Dogo, hebu ulizia jinsia kwanza. Unaniangusha bana. Afu leo gesti nyingi zimejaa sijui kwanini?

Babu umekosa gesti? Halafu wajukuu wote wa kike mbona hawaonekani? Leo wametekwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…