John L. Mihambo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 526
- 177
Mabibi na mabwana, baada ya kupeperusha salamu zangu za dhati kabisa, sasa naombeni niwe mwanajamvi mwenzenu rasmi.
Natumaini tutashirikiana vyema!
Natumaini tutashirikiana vyema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bem vindo
Karibu sana jamvini.
Shukrani kiongozi. Vipi mkulu hajambo? Sijamsikia akitoa tamko kuhusu gesi ya mtwara!
mabibi na mabwana, baada ya kupeperusha salamu zangu za dhati kabisa, sasa naombeni niwe mwanajamvi mwenzenu rasmi.
Natumaini tutashirikiana vyema!
Wabheja sanaKaribu chief,
Karibu sana jf.
Karibu JF.
pamoja sana.