HuwezHivi unaweza kujua kwa siku moja kama mimba imetunga kwa kumpima
Ungetoa maelezo ya ziada ni kwanini unataka kujua eg ni kitu kimetokea mpaka unafikiria hivyo; pengine ungepata majibu boraHivi unaweza kujua kwa siku moja kama mimba imetunga kwa kumpima
Subir week 2 mpaka 3 comrade mambo yatajipaHivi unaweza kujua kwa siku moja kama mimba imetunga kwa kumpima
Mwili anausikia tofauti tangu amalize tendo na kujisikia machofu sana na mwili kuuma