juma athuman mbunda
Member
- Jan 26, 2025
- 23
- 44
Natafuta kazi kwenye makampuni, bandarini au Taasisi yoyote nipo Dar es salaam elimu yangu kidato Cha nne 0742548727
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza kufanya chchte nikipewa muongozo sikubahatika kuendlea niliishia form 4Una uwezo wa kufanya nini Boss
Form 4 ,halafu unataka kazi za kwenye mashirika?
Ngoja ukutane na matapeli, ningekushauri nenda mwenyewe kwenye hayo mashirika,pita kwenye masheli omba kuongea na meneja,
Watu wa degree lakini hawapati kazi kwenye hayo mashirika ,wewe form 4 zaidi naona utakutana na matapeli tu ,
Utakuja humu na Uzi wakupigwa pesa
Sawa subiri bahati ,ila mm nimekutahadharisha,mm Nina Grupu la nafasi za kazi Huwa napost, naongea haya nauzoefu, ninawaombea watu Kaz mbalimbali , siongei kwa kubahatisha ,nalijua soko la ajira vzr na vituko vyake ,Kuna watu Wana CPA hawapati hata nafasi za u Receptionist hayo mashirika unayotaka wewe uunganishweThank you for your advice but everyone was born with his luck
Tena anachagua kabisa mashirikia ya usafirshaji,bandarini , yaani huko anaona ndio kwenye pesa wakati hana taaluma yoyote ,ili Hali Kuna watu Wana degree na masters hawapati nafasi kwenye hayo mashirikaMpaka hapo umeanza kuchagua kazi; kwa elimu yako hutakiwi kubagua kazi.
Kuna kazi za kuchoma mahindi, kukaanga chipsi, n.k
Ungesema unatafuta kazi yoyote ya kutumia nguvu na akili kidogo
Uwezo wa kulima kwa kutumia jembe la mkono huna?Naweza kufanya chchte nikipewa muongozo sikubahatika kuendlea niliishia form 4
Kulima bila mtaji kilimo kinahtaj pesaUwezo wa kulima kwa kutumia jembe la mkono huna?
🤣🤣kizazi cha AI hiki ana elimu ya form 4 lakini anachagua kazi,Kuna mmoja alinifata Leo hivi ,anasema ana form 4 anahitaji kazi akataka ,nikamwambia Kuna kazi ya ulinzi ,akasema hakuna nyingine, yaani form 4 anachagua Kazi ,ndio HawaMsimwandame sana kijana mkuu.
Nyie ni wezi.Natafuta kazi kwenye makampuni, bandarini au Taasisi yoyote nipo Dar es salaam elimu yangu kidato Cha nne 0742548727
Noma sana🤣🤣kizazi cha AI hiki ana elimu ya form 4 lakini anachagua kazi,Kuna mmoja alinifata Leo hivi ,anasema ana form 4 anahitaji kazi akataka ,nikamwambia Kuna kazi ya ulinzi ,akasema hakuna nyingine, yaani form 4 anachagua Kazi ,ndio Hawa
Wanataka kazi za sheli, supermarket,utingo, bandarini wakati hawana taaluma yoyote
Acha upumbavu Mkuu kwahiyo Kama uliibiwa na wahuni unaamua kufanya generalization Kwa kila job seeker.Nyie ni wezi.
HakikaMsimwandame sana kijana mkuu.