Habari zenu wa jamii forum

Hiyo company inahusu nini au jina tu?
Kampuni inajihusisha na finishing za nyumba kama kuweka tiles,marbles/granites,tangastone,kupaka rangi,mabomba, tunajenga makaburi. Pia tunauza Marbles na granites.Karibu sana,tunapatikana Kinyerezi mwisho karibu na kanisa katoriki.
Mawasiliano zaidi:-0673595038/0657441192
 

Attachments

  • Photo_1505977124041.png
    74.2 KB · Views: 40
  • IMG_20170921_130722_016.JPG
    26.6 KB · Views: 40
  • IMG-20170720-WA0036.jpg
    29.6 KB · Views: 41
  • IMG_20170920_103529_569.JPG
    33.8 KB · Views: 41
Asante sana bibie.

Ila ingekuwa vizuri zaidi ungeweka hizi kwenye uzi kueleza hiyo company.

Kama sijakosea bibie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…