Hongera kwa kuwakojolesha, maana huo ni ugonjwa wa wa wanaume wengi sisi / baadhi, na si ajabu ukafuatwa PM nao hao wa kike (baadhi lakini).
Anza kuvuta hisia za unayefanya mapenzi naye zaidi ya kufanya tu ili utimize wajibu, na kwa mtindo huo wataambiana wengi na watakuja kukutega kidogo na magonjwa pia yatakunyemelea.
Tafuta ushauri wa Daktari akusaidie, ama kama utaona aibu, ui-post thread hiyo katika jukwaa la JF Doctor. La mwisho nakupa pole kwa kutumia nguvu nyingi kiholela, zaidi kama hujaoa, ukishapata ushauri wa wataalamu madaktari, uoe ili umfurahishe mke na sio nguvu zako za ujana uzimalize kwa malaya.
Ahsante!