P puruwanji Member Joined Sep 22, 2018 Posts 81 Reaction score 28 Jan 11, 2019 #1 Habari zenu wakuu naomba msaada kwa anaejua biashara ya maua karkade wapi nitapata kwa jumla na bei zake naomba msaada huu wakuu
Habari zenu wakuu naomba msaada kwa anaejua biashara ya maua karkade wapi nitapata kwa jumla na bei zake naomba msaada huu wakuu
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,738 Jan 11, 2019 #2 Natafuta Rosella ya Kununua - JamiiForums
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,738 Jan 11, 2019 #3 cheki huo uzi hapo juu mkuu . ipo kwa wingi Dodoma
P puruwanji Member Joined Sep 22, 2018 Posts 81 Reaction score 28 Jan 14, 2019 Thread starter #4 MAMESHO said: cheki huo uzi hapo juu mkuu . ipo kwa wingi Dodoma Click to expand... Ahsante mkuu nimeuangalia uzi ila namba zao zote hazipatikani kiongozi
MAMESHO said: cheki huo uzi hapo juu mkuu . ipo kwa wingi Dodoma Click to expand... Ahsante mkuu nimeuangalia uzi ila namba zao zote hazipatikani kiongozi
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,738 Jan 14, 2019 #5 Pole mkuu cheki na mtu aliyeko dodoma akuchekie dodoma sokoni au apate connection kwa muuzaji kama utahitaji kwa jumla.
Pole mkuu cheki na mtu aliyeko dodoma akuchekie dodoma sokoni au apate connection kwa muuzaji kama utahitaji kwa jumla.
P puruwanji Member Joined Sep 22, 2018 Posts 81 Reaction score 28 Jan 14, 2019 Thread starter #6 MAMESHO said: Pole mkuu cheki na mtu aliyeko dodoma akuchekie dodoma sokoni au apate connection kwa muuzaji kama utahitaji kwa jumla. Click to expand... Ahsante mkuu kwa bahati mbaya sina mtu dodoma na ingekua vyema ningepata connection ya muuzaji wa jumla ningeshukuru sana...
MAMESHO said: Pole mkuu cheki na mtu aliyeko dodoma akuchekie dodoma sokoni au apate connection kwa muuzaji kama utahitaji kwa jumla. Click to expand... Ahsante mkuu kwa bahati mbaya sina mtu dodoma na ingekua vyema ningepata connection ya muuzaji wa jumla ningeshukuru sana...