Naombeni msaada wenu kwa mwenye uzoefu wa kupokea mizigo kutoka Ali express niliagiza kitu kutoka China leo nimetrack nakuona ujumbe huo je mzigo wangu ndo umeshafika au laa! !na kama tyr nikienda posta naweza pewa mzigo wangu!!msaada tafadhali.
View attachment 1237210