Baada ya kuimisi kwa muda mrefu kidogo jamiiforums na member waliomo humu nilihitaji nije na nyuzi nadhimu kabisa lakini kutokana na muda nitakuleteeni hapo kesho kunapo majaliwa yake mungu kuanzia SAA 6 mchana katika jukwaa LA Habari na hoja mchanganyiko.