Habari zenu wana jf

Habari zenu wana jf

madala mujipa

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,417
Reaction score
862
Nachukua fursa kuwaomba wana jf mnipokee,tubadilishane mawazo!.
 
viroba vyenyew si ndio vimepigwa pin!
me nafikiri vingepandishwa bei au hivyo walivyovikamata waviuze hiyo hela wawekeze kwenye kilimo ili tupunguze ukosefu wa ajira au unaonaje..?
 
dah wacha wafungie turudi zama za kachaso
 
Back
Top Bottom