K kutoka-uswazi New Member Joined Jul 4, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Jul 4, 2012 #1 Habari zenu wanajamii wote!naomba mnipokee pia nategemea muongozo wenu jinsi yakushiliki kwenye mijadala mbalimbali
Habari zenu wanajamii wote!naomba mnipokee pia nategemea muongozo wenu jinsi yakushiliki kwenye mijadala mbalimbali
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Jul 4, 2012 #2 karibu sana sana!!..ila tabia za kiswazi marufuku.
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,324 Reaction score 17,846 Jul 4, 2012 #3 karibu ila tabia za kiswazi huko huko. mwone BAGAH ulipie utambulisho. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 404 Jul 4, 2012 #4 Karibu chai na karoti nahisi utakuwa unauzoefu nacho
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jul 5, 2012 #5 Karibu jamvini Mkuu.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jul 5, 2012 #6 karibu mjini...hapa ndio JF, kuna mitaa mingi sana kama MMU, Chit Chat, Hoja Mchanganyiko n.k hakikisha tu haupotei
karibu mjini...hapa ndio JF, kuna mitaa mingi sana kama MMU, Chit Chat, Hoja Mchanganyiko n.k hakikisha tu haupotei
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jul 5, 2012 #7 Karibu sana JF mkuu.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jul 5, 2012 #8 BAGAH said: karibu sana sana!!..ila tabia za kiswazi marufuku. Click to expand... Wewe BAGAH umeacha tabia za uswazi?? Mfundishe basi tabia za humu ndani mgeni pia usisahau kumpeleka kule chit chat. kutoka-uswazi pita ndani. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BAGAH said: karibu sana sana!!..ila tabia za kiswazi marufuku. Click to expand... Wewe BAGAH umeacha tabia za uswazi?? Mfundishe basi tabia za humu ndani mgeni pia usisahau kumpeleka kule chit chat. kutoka-uswazi pita ndani.
princess enny JF-Expert Member Joined May 27, 2012 Posts 1,038 Reaction score 379 Jul 5, 2012 #9 karibu jamvini!!!!!!! njoo kwenye group la waswaz tundeleze uswaili mwaya