Habari Zenu Wanajukwaa

Joined
Jun 20, 2019
Posts
11
Reaction score
5
Natumai Nyote ni wazima wa afya na aliekuwa si mzima basi Mungu atamponesha.

Kama Username ilivyo, ni Tour operator ambayo ipo visiwani Zanzibar.

Tunapenda kuwakaribisha wale ambao wangependa kutembelea visiwa vya Zanzibar, nitakuwa na post group tours na kwa aliekuwa interested anaweza kufanya booking nami.

Asanteni Sana! tukuze utalii wa ndani πŸ™‚

Unaweza kutufollow Instagram @zanziquest
 
Zanzibar kubwa wapi hasa!
Kisiwa cha Zanzibar sio kikubwa, ila kina sehemu tofauti tofauti za kutalii. haswa kwenye mambo ya khisotria, ukiwaunataka ku enjoy na vile vile sehemu nyingi tu nzuri kwa ajili ya ku relax tu. Fukwe za Zanzibar ni moja kati ya fukwe bora kabisa Afrika Mashariki.

Karibu kutembea
 
Karibu sana na wewe

Naam shehe na vipi kuhusu vipozeo yaani kama langi ya mtume na mkia wa maana
Kama ndivyo nilivyokufahamu, mambo ya kipozea na mkia wa maana hayo yatakuwa nje ya uwezo wetu kwa kweli.

Karibu Visiwani ubadilishe upepo kidogo πŸ™‚
 
Wapi ofs?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…