Habari zenu wandugu

Haya vua ndala kisha ingia, karibu javini. Usha kariri mashariti ya humu lakini? Kwa kuwa wewe mgeni humu haya kimbia kwenye chumba cha makapuku wanakusubiri huko, ukifika kule we ongea chochote, haijalishi umekuta wanaongea nini, hata ukikuta wanalia we ukaamua kuimba sawa tu.
 
Leo si siku nzuri ya kuja kwangu. Njoo kesho
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa GT.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…