Habari zenu

A M. Lyimo

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
50
Reaction score
27
Kwa moyo mkunjufu nawasalimu nyote asalamu alyekumu na bwana yesu asiwe. Nachukua fursa hii kujitambulisha kwenu nikiwa nipo kamili kabisa kuwa Verified User.
Naombeni wenyeji wangu mnisaidie how can I be Verified user?
Naomba mwongozo
A M. Lyimo
 
Karibu JF. Tuma PM kwa Invisible atakusaidia kuwa Verified User.
 
Karibu sana jamvini.
 
Karibu mkuu hapa huduma zote utapata kwani tuna madaktari hadi wale wa akina prof maji marefu.ebu pm invisible atakusaidia ila sisi tunaogopa kupelekwa mabwepande ndio maana tunatumia id za majina feki.
 
Asante sana. Nafikiri bila shaka kabisa ukitumia ID yako JF utafaidika sana. Kikubwa ni kufahamu na kufuata sheria na taratibu zilizo wekwa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…