flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
naomba mnipokee!!nimeingia katika forum hii ili kubadilishana mawazo na nyinyi wenzangu..najua nitajifunza mengi ambayo nilikua cyajui..na nitakua mstaarabu kwa yyt na nitakapokosea na mm naomba mniweke sawa..kila la kheri