Habari zenu,

up-grader

Member
Joined
Jul 23, 2010
Posts
8
Reaction score
1
Kwanza natanguliza shukran kwa wana JF wote kwani nimekuwa nikinufaika saana na taarifa nyingi, ningependa kuwa active member,

Mim ni mfanya kazi, na mjasiriamali, naishi Dar.

ni mtaalam wa mabo ya uchumi na kodi (economics, accounting, finance & tax),

ni mfugaji pia, kwa sasa kuku, bata na nguruwe (huku si mtaalam-najifunza)

naombeni ushirikiano wenu.
 
Karibu sana jamvini.
 

Karibu mchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…