peter babagody
Senior Member
- Jun 16, 2016
- 103
- 44
Nimekuelewa asanteKaribu sana mkuu. Hili ni jukwaa huru na elimishi sana. Ni platform muhimu sana. Hapa kila tatizo litapata ufumbuzi na kila swali utapata jibu lake.
Hatahivyo, uwe makini sana.....sio kila mchango utolewao hapa na sio kila kitu kisemwacho hapa ni fact. Vipo vingi ni ukweli lakini mengine ni matango pori. Kila penye "mamba" na "kenge" wapo.