Eliabu burton sanga
Member
- Dec 11, 2017
- 23
- 3
Tumekuuliza kama we mgeni au sio mgeni?hodi hodi mm mgeni
Mkuu mkaribishe mgeni taratibu,ukarimu kwa mbali bila kusahau kahekima pembeni make kwa jinsi ulivompokea anaweza Ku sign out af tusimskie tena humuu...Tumekuuliza kama we mgeni au sio mgeni?
Karibu mgeni...humu wote ni wakuu! Taratibu nawe baada ya huu Uzi/mada yako nawe utakuwa mkuu!hodi hodi mm mgeni