Kyindikibisi
Member
- Apr 7, 2018
- 72
- 36
Je naweza pata wapi darasa la kujifunza kichina kwa dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda UDSM
Vipi mkuu uliambulia hapo hata kidogo?Karibu na jengo la Udbs na benki ya CRDB hapo ndipo idara ya lugha ya kichina ipo , mwaka juzi ilikuwa yafundishwa bure sijajua kwa sasa!!!
Mimi nilisoma bure kichina, japo sikutumiza kozi zote nikaacha kwa sababu ya wingi wa majukumu niliyokuwa nayo.
Karibu na jengo la Udbs na benki ya CRDB hapo ndipo idara ya lugha ya kichina ipo , mwaka juzi ilikuwa yafundishwa bure sijajua kwa sasa!!!
Mimi nilisoma bure kichina, japo sikutumiza kozi zote nikaacha kwa sababu ya wingi wa majukumu niliyokuwa nayo.
Nitakujibu, goja nifuatilie mara moja hapo idara ya chinese
Nitakujibu, goja nifuatilie mara moja hapo idara ya chinese