Habari

Habari

Mbotech

Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
81
Reaction score
79
Salama

Mi ni member mpya kabisa, nimeamua kujiunga jamii forums baada ya kuwa msomaji wa muda mrefu.

Nimekuwa fwatiliaji wa nyuzi mbalimbali hapa JF hususani jukwaa la intelijensia pamoja na la mahusiano

Nimekuja huku kujitambulisha pia nakuomba ushirikiano wenu wa hari na mali.

ASANTENI
 
Karibu saana.
Taja jina lako na uweke namba ya simu ili upigiwe na uongozi
 
Haya karibu sana jf. Utapokelewa vizuri na hao wadau wa majukwaa husika.
 
Back
Top Bottom