Salama
Mi ni member mpya kabisa, nimeamua kujiunga jamii forums baada ya kuwa msomaji wa muda mrefu.
Nimekuwa fwatiliaji wa nyuzi mbalimbali hapa JF hususani jukwaa la intelijensia pamoja na la mahusiano
Nimekuja huku kujitambulisha pia nakuomba ushirikiano wenu wa hari na mali.
ASANTENI