Karibu sana.kwa muda Wakuu nimekuwa naingia jamvini kama Guest. nashukuru Mungu hatimaye nimefanikiwa kujiunga
Mbona umeamua kufukua makaburi?? Au ndo ID yako nyingine??
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mbona umeamua kufukua makaburi?? Au ndo ID yako nyingine??
Kufukua makaburi hakujawahi kumwacha mtu salama...