Habari

Habari

Said Toqy

New Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu wakuu, napenda kukaribia katika jukwaa hili kwani nalipenda na linaelimisha sana. naomba mnikaribishe.
 
Habari zenu wakuu, napenda kukaribia katika jukwaa hili kwani nalipenda na linaelimisha sana. naomba mnikaribishe.

Karibu sana Said Uamuzi uliouchukua kujiunga hapa hutaujutia kamwe.
Karibu kaka.
 
Wakubwa nashukuru sana nimefarijika sana hadi hapo.Pamoja sana!
 
Back
Top Bottom