Jamii Forums,burudani sana!
Mtu ana shida,anaomba msaada,wachangiaji wanahamisha mada kwenda kwingine kabisa.Mwisho wa siku hakuna msaada wowote unaopatikana.
Anyway,ingawa muhusika hajaonekana tena,ila nadhani anatakiwa kwenda hospitali ili ifahamike anasumbuliwa na nini.Kwa kawaida kaswende hadi ioneshe dalili,inakuwa kwenye advanced stage ambapo inaweza kuwa hatari kwa mgonjwa ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa.Habari njema ni kwamba,ugonjwa huu unatibika kabisa tena kwa muda mfupi ikiwa mgonjwa atapata tiba sahihi.