Habari,

Habari,

sandet

Senior Member
Joined
Mar 27, 2010
Posts
117
Reaction score
104
Habari wana Jukwaa,

Mi mwanachama, mpya katika jukwaa hili, nimesikia mengi mazuri kuhusu hili jukwaa na nimeamua kujiunga rasmi, ili niweze kutoa mchango wangu na kufaidika na michango ya wanachama wengine,

naomba ushirkiano wenu

Sandet
 
Back
Top Bottom